Job 38:25-27

25 aNi nani aliyepasua mifereji kwa ajili ya maji mengi ya mvua yaendayo kasi
na njia ya umeme wa radi,
26 bili kusababisha mvua kunyeshea mahali pasipokaliwa na mtu,
jangwa lisilo na yeyote ndani yake,
27 cili kuitosheleza nchi ya ukiwa na jangwa,
na majani yaanze kumea ndani yake?
Copyright information for SwhNEN